Rais Rouhani ataka hekima itumike katika sera Mashariki ya Kati

IQNA

Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema sera za hekima za viongozi wa nchi za Mashariki ya Kati ni jambo litakalodhamini maslahi ya mataifa ya eneo.
Habari ID: 1372871    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/09